Mbeya City waifata Dawa ya Kuiua Yanga Tanga

Klabu ya Mbeya City toka jana iliwasili jijini Tanga kwa matayarisho yake ya mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara VPL dhidi ya klabu ya Yanga utakaochezwa siku ya jumapili wiki hii katika uwanja wa Uhuru jijini Dar Es Salaam.


Mbeya City katika kambi yake ya Tanga leo watakuwa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Coastal Union ya jijini Humo  mchezo ambao unatarajiwa kuchezwa katika uwanja wa Mkwakwani majira ya saa kumi jioni.

Coastal Union msomaji wa Kwataunit.com  inashiriki ligi daraja la kwanza katika kundi B ikiwa nafasi ya 4 katika msimamo sawa na Mbeya Kwanza iliyonafasi ya 3 timu zote zikiwa na points 15 huku KMC ikiongoza kundi kwakuwa na points 19 nafasi ya pili ikiwa ni timu ya Polisi Tanzania.

Mbeya City wanaamini Tanga ni sehemu nzuri ya kufanya maandalizi yao kuelekea mchezo dhidi ya Yanga jumapili. Kumbuka Kulike Ukurasa  wetu wa Facebook hapo chini, Tutakupa MATOKEO YOTE.
Mbeya City waifata Dawa ya Kuiua Yanga Tanga Mbeya City waifata Dawa ya Kuiua Yanga Tanga Reviewed by Admin on Wednesday, November 15, 2017 Rating: 5

No comments:

DONDOSHA COMENT YAKO HAPA

Powered by Blogger.