Dkt Shika Amzimia Ray C Asema Ajiwezi


DAKTARI Louis Shika ambaye alipata umaarufu mkubwa baada ya jaribio lake la kununua nyumba za mfanyabiashara Said Lugumi, ametoa mpya baada ya kudai kuwa anaguswa na muziki wa mkongwe Rehema Chalamila ‘Ray C’.

Akipiga stori na Risasi Mchanganyiko juzikati, Dr Shika alisema katika Tanzania, hakuna msanii yeyote wa Bongo Fleva ambaye anamhusudu zaidi ya mwimbaji huyo anayesifika kwa kuimba na kucheza. 
Dkt Shika Amzimia Ray C Asema Ajiwezi Dkt Shika Amzimia Ray C Asema Ajiwezi Reviewed by Admin on Wednesday, November 29, 2017 Rating: 5

No comments:

DONDOSHA COMENT YAKO HAPA

Powered by Blogger.