Mshambuliaji Mtanzania, Thomas Ulimwengu ameondoka katika klabu yake ya AFC ya nchini Sweden na kwenda Ubelgiji ambako sasa anafanya mazoezi na kikosi cha KRC Genk.
KRC Genk ndiyo klabu anayoichezea Mtanzania mwingine Mbwana Samatta.
Ulimwengu ambaye ni majeruhi wa goti, ameamua kufanya mazoezi huku akipata matibabu chini ya wataalamu wa klabu ya Genk ambao sasa wanafanya kazi ya kumtibu Samatta ambaye siku chache zilizopita amefanyiwa upasuaji.
EXCLUSIVE: ULIMWENGU AONDOKA SWEDEN NA KUTUA GENK, AANZA KUJIFUA
Reviewed by Admin
on
Wednesday, November 15, 2017
Rating:
No comments:
DONDOSHA COMENT YAKO HAPA