Wimbo wa Rihanna ‘Work’ ambao uppo namba nne kwenye chati za muziki za dunia za billboard umepata video. Video imetayarishwa na director X na inamuonyesha Rihanna na Drake wakicheza sana wimbo huu. Bonyeza play kuitazama.
No comments:
DONDOSHA COMENT YAKO HAPA