Rapper mtanzania Roma Mkatoliki ameachia filamu fupi inayoeleza uandishi wa wimbo wake Mkombozi aliomshirikisha One Six.
Filamu hiyo iliyoachiwa kwenye mtandao wa YouTube, maigizo yake yameongozwa na Director Salumu Majagi huku wimbo huo ukisikika bila sauti za waigizaji kusikika.
Itazame Filamu hiyo hapa chini.
Roma ( @Roma_Mkatoliki ) Aachia Filamu ya wimbo wake ‘Mkombozi’ ft. One Six
Reviewed by Admin
on
Saturday, February 01, 2020
Rating:
No comments:
DONDOSHA COMENT YAKO HAPA