Kocha wa Simba Joseph Omog ameamua kuhakikisha hawachukulii poa kabisa Tanzania Prisons kuelekea mchezo wa Ligi Kuu utakaochezwa jumamosi Hii Katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya, Omog amesema anaitambua vizuri Prisons hasa ukizingatia ilikuwa moja kati ya timu ambazo ziliifunga Simba katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.
Omog anakumbuka msimu uliopita ambapo katika uwanja wa Sokoine Simba walikutana na kichapo cha bao 2 kwa 1, Simba wakitangulia kwa bao la Jamal Mnyate dakika ya 43 kabla ya Prisons kusawazisha kupitia kwa Victor Hangaya dakika ya 47 na Kuongeza bao kupitia kwa Victor Hangaya tena dakika ya 63.
Omog msomaji wa Kwataunit.com amesema ameshawaangalia Tanzania Prisons kupitia marudio ya video kupitia CD na kwasasa anachokifanya ni kuhakikisha anafanyia kazi mapungufu yao ili kuzichukua points zote 3 siku ya Jumamosi katika uwanja wa sokoine.

Kocha OMOG wa Simba awasanukia mapema Prisons
Reviewed by Admin
on
Monday, November 13, 2017
Rating:
No comments:
DONDOSHA COMENT YAKO HAPA