Hatma ya Kesi ya Msanii Lulu kujulikana leo

Mahakama Kuu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  leo Novemba 13 inatarajia kutoa hukumu ya kesi ya mauaji inayomkabili muigizaji Elizabeth Michael (Lulu).



Kesi hiyo ambayo ilianza kusikilizwa tena Oktoba 19 mwaka huu, ilianza kwa kusikiliza ushahidi wa pande zote mbili za mashtaka na mshtakiwa, na kisha kusikiliza maoni ya wazee wa baraza la mahakama na hatimaye mahakama kumkuta Elizabeth na hatia ya kuua bila kukusudia.
Elizabeth Michael anatuhumiwa kumuua bila kukusudia aliyekuwa  mpenzi wake na muigizaji mwenzake,  Steven Charles Kanumba, mnamo April 7, 2014
Hatma ya Kesi ya Msanii Lulu kujulikana leo Hatma ya Kesi ya Msanii Lulu kujulikana leo Reviewed by Admin on Monday, November 13, 2017 Rating: 5

No comments:

DONDOSHA COMENT YAKO HAPA

Powered by Blogger.