Yanga imeitwanga Azam FC kwa bao 1-0, bao lililofungwa na Mzambia, Obrey Chirwa katika dakika ya 70. Ilikuwa moja ya mechi bora za Ligi Kuu Bara kutokana na ushindani mkali. Angalia matukio mbalimbali katika picha.
No comments:
DONDOSHA COMENT YAKO HAPA