"Niko salama, naachia muziki mpya wiki hii" Asema Vanessa Mdee


Vanessa Mdee amezungumza kwa mara ya kwanza tangu atoke rumande Jumatatu hii baada ya kushikililiwa na polisi jijini Dar es Salaam kuanza Jumatano ya wiki iliyopita.
Muimbaji huyo wa Cash Madame amewashukuru wote waliompa pole wakati alipokuwa ameshikiliwa na kudai kuwa ataachia wimbo mpya wiki hii.
“I love you all sooo much 😚,” ameandika kwenye Twitter.
“It is by his Grace alone 💜 Utukufu kwa Mungu wetu wa miujiza.
Thankyou for your kind tweets and posts. I got a glimpse of some of them and this kinda loooooove 😍,” ameongeza.

“AND incase you were wondering. I am doing so fine. Infact new music out THIS WEEK 😙.”
"Niko salama, naachia muziki mpya wiki hii" Asema Vanessa Mdee "Niko salama, naachia muziki mpya wiki hii" Asema Vanessa Mdee Reviewed by Admin on Wednesday, March 15, 2017 Rating: 5

No comments:

DONDOSHA COMENT YAKO HAPA

Powered by Blogger.