Listen & Download | Deejay Spata Old Bongo Flava Mixing ( @Official_Spata )


Anaitwa SEIF SALUM HAMIMU mkazi wa Mwanza nyegezi kijana alie ingia katika sanaa ya muziki katika tansia ya U_DJ akitumia JINA la DJ SPATA kama anavyo jiita mwenyewe amekuwa akifanya vizur katika swala zima la mixing ni Kijana anae kuja juu kwa sasa ameanza kutengeneza mixtape 2015 mpaka sasa amefanikiwa kupata waskilizaji wengi wa kazi zake hii ni moja kati ya kazi yake kali inaitwa BONGO OLDZ volume 2 enjoy
Unaweza Kumfollow Twitter @Official_Spata
Instagram @Deejay_Spata
Facebook @Dvj Spata


Listen & Download | Deejay Spata Old Bongo Flava Mixing ( @Official_Spata ) Listen & Download | Deejay Spata Old Bongo Flava Mixing ( @Official_Spata ) Reviewed by Admin on Thursday, March 16, 2017 Rating: 5

No comments:

DONDOSHA COMENT YAKO HAPA

Powered by Blogger.