Kesi ya Msanii Wema Sepetu yapigwa tarehe hadi April 11



Kesi ya dawa za kulevya inayomkabili malkia wa filamu, Wema Sepetu yaahirishwa hadi April 11 baada ya upande wa mashtaka kusema kortini Kisutu upelelezi haujakamilika.

Muigizaji huyo ni mmoja kati ya wasanii ambao walitajwa kwenye list ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda yawatuhumiwa wanaojihusisha na biashara ya dawa za kulevya.
Katika upelelezi wa awali ambao ulifanywa na jeshi la polisi, walidai wamekuta msokoto wa bangi nyumbani kwa muigizaji huyo.
Kesi ya Msanii Wema Sepetu yapigwa tarehe hadi April 11 Kesi ya Msanii Wema Sepetu yapigwa tarehe hadi April 11 Reviewed by Admin on Wednesday, March 15, 2017 Rating: 5

No comments:

DONDOSHA COMENT YAKO HAPA

Powered by Blogger.