TCRA yatoa ruksa kwa video ya Zigo Remix yake AY kuchezwa usiku tu kwenye television!


Weka mbali na watoto, video ya Zigo Remix ya AY aliomshirikisha Diamond Platnumz, ruksa kuchezwa usiku kwa mujibu wa mamlaka ya mawasiliano TanzaniaTCRA.



TCRA imetoa taarifa hiyo kwenye mtandao wa Twitter wakati ikijaribu kumwelewesha AY pamoja mashabiki wenye duku duku kuhusiana na uamuzi huo. Awali uamuzi wa TCRA ulitafsiriwa kuwa video hiyo yenye views zaidi ya milioni 2.7 Youtube imepigwa marufuku kabisa kuoneshwa kwenye TV za Tanzania




TCRA yatoa ruksa kwa video ya Zigo Remix yake AY kuchezwa usiku tu kwenye television! TCRA yatoa ruksa kwa video ya Zigo Remix yake AY kuchezwa usiku tu kwenye television! Reviewed by Admin on Tuesday, February 23, 2016 Rating: 5

No comments:

DONDOSHA COMENT YAKO HAPA

Powered by Blogger.